Mt. Maria Magdalena Ununio - Sifa Za Mungu (Official Music Video)
KMM UNUNIO
0:00 / 0:00
Mt. Maria Magdalena Ununio - Sifa Za Mungu (Official Music Video)
3 879 просмотров · 3 дня назад
KMM UNUNIO
579 подписчиков
3 879 просмотров · 3 дня назад
Kadiri tunavyojua sifa za mtu, ndivyo tunavyomfahamu vizuri, na urafiki wetu unaimarika zaidi. Vivyo hivyo, kadiri tunavyojua sifa za Mungu, ndivyo tunavyomjua vizuri, na urafiki wetu unazidi kusitawi. Ingawa Mungu ana sifa nyingi nzuri, sifa zake kuu ni: nguvu, hekima, haki, na upendo. Karibu kutazama wimbo wetu wa Zifa za Mungu.
WIMBO: SIFA ZA MUNGU
MTUNZI: SALISALI, J.m
WAIMBAJI: KMM UNUNIO
ORGANIST : NAZARETH AMOS
AUDIO: NADI PRO
VIDEO: MDETE
Usisahau ku susbscribe, like, comment na kushare
Ubarikiwe na Bwana.