Renatus Njohole: Soka Ilimpa Jina, Leo Anajenga Legacy #NjoholeFoundation #VisitKaratu
Soga Za Diaspora и Serene Roads
0:00 / 0:00
Renatus Njohole: Soka Ilimpa Jina, Leo Anajenga Legacy #NjoholeFoundation #VisitKaratu
47 просмотров · 3 недели назад
Soga Za Diaspora и Serene Roads
47 просмотров · 3 недели назад
Safari ya gwiji la soka, Renatus NJOHOLE, kutoka Mirambo FC, Simba SC na timu ya taifa, hadi maisha mapya Switzerland 🇹🇿⚽🇨🇭
Katika episode hii ya Soga za Diaspora, tunakutana na Renatus Njohole, mchezaji wa zamani wa soka ambaye safari yake haikuishia uwanjani.
Tunazungumza kuhusu maisha yake ya soka Tanzania, uzoefu wa kucheza katika kiwango cha juu, safari iliyomfikisha Switzerland, maisha ya Diaspora, na namna ambavyo leo anaendelea kuitumikia soka kupitia ukocha wa vijana na Njohole Foundation.
Ni mazungumzo kuhusu mpira, mabadiliko ya maisha, changamoto, kujenga upya na umuhimu wa kutumia uzoefu wako kufungua njia kwa kizazi kinachofuata.
🎙️ Baada ya Simba na Taifa Stars, Renatus Njohole anafanya nini Switzerland?
Tazama mahojiano kamili kwenye Soga za Diaspora.
#SogazaDiaspora #RenatusNjohole #SimbaSC #TaifaStars #NjoholeFoundation #TanzaniaDiaspora #Diaspora #TanzaniaFootball #SokaTanzania #WatanzaniaDiaspora #Switzerland #FootballJourney #AfricanFootball #DiasporaStories