Nafasi ya Mwanamke Katika Uislamu: Mafunzo Kutoka kwa Hadithi ya Asmaa bint Yazid - Imaam Abdallah
Masjid Islamia Kibada
0:00 / 0:00
Nafasi ya Mwanamke Katika Uislamu: Mafunzo Kutoka kwa Hadithi ya Asmaa bint Yazid - Imaam Abdallah
68 просмотров · 4 дня назад
Masjid Islamia Kibada
111 подписчиков
68 просмотров · 4 дня назад
Katika khutba hii tutajadili nafasi ya mwanamke ndani ya Uislamu kupitia simulizi ya Asmaa bint Yazid (رضي الله عنها), ambaye alimwendea Mtume ﷺ akiuliza kuhusu amali ambazo wanawake wanaweza kuzifanya ili wapate ujira na daraja kubwa kama wanaume wanaoshiriki Jihadi na ibada nyingine za wazi. Mtume ﷺ akabainisha kuwa utiifu wa mwanamke kwa Mola wake, uangalizi wake kwa familia yake, na utekelezaji wake wa majukumu yake kwa ikhlasi ni katika amali zinazomfikisha kwenye fadhila kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu. Khutba hii itaonesha jinsi Uislamu ulivyompa mwanamke hadhi, heshima na fursa ya kupata malipo makubwa kwa amali zinazomfaa na zinazolingana na maumbile yake.