Перейти к содержимому

Je, Unamhudumia Mumeo Vizuri? Jifunze Mbinu Hizi | Dr. Chris Mauki

Chris Mauki

0:00 / 0:00

Je, Unamhudumia Mumeo Vizuri? Jifunze Mbinu Hizi | Dr. Chris Mauki

2 129 просмотров · 3 дн. назад
Chris Mauki
382 тыс. подписчиков
2 129 просмотров · 3 дн. назад
Je, unamhudumia mumeo kwa namna inayojenga na kuimarisha ndoa yako? Katika video hii, ninakushirikisha mbinu muhimu ambazo zinaweza kukusaidia kuelewa zaidi mahitaji ya mume wako, kuboresha mawasiliano yenu na kujenga ukaribu wenye afya ndani ya ndoa. Ndoa nzuri haijengwi kwa bahati. Inahitaji kuelewana, kujifunza na kila mmoja kujua namna bora ya kumhudumia mwenzake. Tazama video hii hadi mwisho, kisha niambie kwenye comments: Ni jambo gani umejifunza ambalo utaanza kulifanyia kazi kwenye ndoa yako? Usisahau SUBSCRIBE, LIKE na SHARE video hii na wengine.