NAFSI episode 1
KEYTO KAE
0:00 / 0:00
NAFSI episode 1
117 084 просмотра · 2 дня назад
KEYTO KAE
82,3 тыс. подписчиков
117 084 просмотра · 2 дня назад
NAFSI ni drama ya mapenzi kati ya Sam na Tina, Juma na Rehema wanandoa wanaopendana lakini wanashindwa kuelewana. Kutokana na maumivu na migogoro yao, Tina anaondoka na kuanza kumkaribia Kizigo, huku Sam akipata urafiki wa karibu na Rehema.
Kadiri mahusiano yao yanavyoendelea, kila mmoja anaanza kujifunza kuhusu mapenzi, uaminifu, mipaka na kujithamini. Hatimaye wanagundua kuwa si kila anayekupenda lazima abaki nawe, wanakutana na watu wapya wanaowafundisha kuwa katika mapenzi si kila vita vinahitaji kushindwa—wakati mwingine, kushinda ni kujua lini uache kupigana.
#dubutz #dontatv #dunia #lisaaa
#swahilimovies #swahilifilm #tanzanianmovies #shortvideo #vevo #donta #kiparabrand #kiparavevo