Jinsi ya Kubadilisha Background Professional (BEFORE vs AFTER) 📸🔥
RIZZMOKO
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kubadilisha Background Professional (BEFORE vs AFTER) 📸🔥
50 просмотров · 6 мес. назад
RIZZMOKO
154 подписчика
50 просмотров · 6 мес. назад
Karibu kwenye tutorial hii 📸🔥
Leo nakufundisha jinsi ya kubadilisha background ya picha na kuifanya ionekane kama studio professional. Kama umeona tofauti ya BEFORE na AFTER, hii ndio skill unahitaji kuongeza value kwa kazi zako.
👉 Utajifunza:
Jinsi ya ku-remove background clean
Kuongeza studio background
Color matching na lighting
Kuifanya picha ionekane natural & professional
Hii ni muhimu kwa photographers, content creators na anyone anataka kuboresha picha zake.
📩 Kama unataka editing services au photoshoot, DM au comment hapa chini.
👍 Like, Comment & Subscribe kwa tutorials zaidi!