Webisode 53: Kupanga Bajeti | Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili
Ubongo Kids Kiswahili
0:00 / 0:00
Webisode 53: Kupanga Bajeti | Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili
148 013 просмотров · 8 лет назад
Ubongo Kids Kiswahili
490 тыс. подписчиков
148 013 просмотров · 8 лет назад
Ni muhimu kijifunza jinsi ya kupanga bajeti ili uweze kufanikiwa katika malengo yako. Angalia episode hii kuona jinsi watoto wa Ubongo Kids wanavyoiambia pesa pa kwenda!
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!
Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!
Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com
/ ubongokids