Dr. Chris Mauki: Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress
Chris Mauki
0:00 / 0:00
Dr. Chris Mauki: Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress
11 192 просмотра · 3 года назад
Chris Mauki
381 тыс. подписчиков
11 192 просмотра · 3 года назад
Labda stress unazisikia tu kwa wengine, je unajua stress “msongo wa mawazo” unaweza kuathiri afya yako na hata ukapoteza maisha? Je unajua wengi waliolazwa mahospitalini na hata baadhi waliopoteza maisha sababu inaweza kuwa ni msongo wa mawazo? Nifuatilie nikuonyeshe