Христианская библиотека | Лекарство для душ
MTA Africa
0:00 / 0:00
Христианская библиотека | Лекарство для душ
26 просмотров · 1 дн. назад
MTA Africa
16,1 тыс. подписчиков
26 просмотров · 1 дн. назад
Hii ni mfululizo wa vipindi kwa lugha ya Kiswahili vinavyotambulisha kazi kubwa ya kifasihi ya Masih wa Ahmadi (as). Tunajadili:
📖 Umuhimu wa kusoma vitabu vyake
💡 Changamoto alizokabiliana nazo
🤝 Huduma yake kwa binadamu
🕌 Jinsi alivyofanikisha kufufua Uislamu kupitia kalamu yake takatifu
Ungana nasi kujifunza zaidi kuhusu urithi huu wa kiroho na maarifa ya kudumu.
👉 Usisahau ku-subscribe, kupenda (like) na kushiriki (share) ili ujumbe huu uwafikie wengi zaidi.
#Swahili #Ahmadiyya #Islam #MTA