Rais atetea ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi Lamu
KBC Channel 1
0:00 / 0:00
Rais atetea ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi Lamu
508 просмотров · 1 день назад
KBC Channel 1
783 тыс. подписчиков
508 просмотров · 1 день назад
Rais William Ruto ametetea vikali kiwanda cha usafishaji mafuta cha Afrika Mashariki kinachotarajiwa kujengwa katika kaunti ya Lamu, akidai wapo watu fulani wanaohujumu juhudi za maendeleo za serikali wakitaka wapewe hisa kwenye kiwanda hicho, kutoa masharti yasiyostahili na kuwasilisha kesi mahakamani. Kabla ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi huo kesho, rais amesema serikali haitaruhusu kile alichokitaja kuwa utapeli na uwakala vitatize uwekezaji akisema mradi huo umefanikishwa na juhudi zake pana za kuleta usawa wa kiuchumi na mabadiliko ya kisiasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive