Перейти к содержимому

BILIONI 78 ZATENGWA MRADI WA UJENZI WA MAJENGO YA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA (CATC)

Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)

0:00 / 0:00

BILIONI 78 ZATENGWA MRADI WA UJENZI WA MAJENGO YA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA (CATC)

509 просмотров · 1 месяц назад
Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)
701 подписчик
509 просмотров · 1 месяц назад
Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa Ujenzi wa majengo ya Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC ), ambapo miundombinu hiyo itakapo kamilika kitakuwa ni Chuo kikubwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Chuo hicho ambacho kitakuwa na miundombinu yote ikiwemo Mabweni,Hospitali,Kumbi za Mikutano viwanja Vya michezo Madarasa ya kisasa na Kadhalika. Naibu Waziri wa Uchukuzi Mh.David Kihenzile amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Mradi huo.