Tenzi za Rohoni - Dinu Zeno - Nyimbo 16 Nonstop Worship | Nyimbo za Tenzi
Dinu Zeno
0:00 / 0:00
Tenzi za Rohoni - Dinu Zeno - Nyimbo 16 Nonstop Worship | Nyimbo za Tenzi
21 270 просмотров · 4 месяца назад
Dinu Zeno
178 тыс. подписчиков
21 270 просмотров · 4 месяца назад
Karibu usikilize mkusanyiko wa tenzi 16 za Kikristo zenye ujumbe wa matumaini, faraja na kumtukuza Mungu. Hii ni compilation ya nyimbo za zamani (hymns) ambazo zinaendelea kugusa mioyo ya waumini hadi leo.
🎧 Sikiliza, omba, na uabudu pamoja nasi kupitia nyimbo hizi zenye nguvu ya kiroho.
🙏 Usisahau:
Like 👍
Comment 💬
Subscribe 🔔 kwa nyimbo zaidi za injili
⏱️ TENZI ZILIZOPO
00:00 Tenzi 23 – Ni salama rohoni mwangu
05:33 Tenzi 71 – Mteteeni Yesu
10:53 Tenzi 86 – Damu imebubujika
16:39 Tenzi 25– Nimekombolewa na Yesu
22:14 Tenzi 40 – Nasikia kuitwa
28:44 Tenzi 127 – Bwana Yesu atakuja
34:45 Tenzi 67 – Bwana uliyewaita
39:06 Tenzi 89 – Kwa Kalvari
45:51 Tenzi 9 – Yesu kwetu ni rafiki
49:29 Tenzi 15 – Cha kutumaini sina
54:36 Tenzi 22 – Kale nilitembea
1:03:37 Tenzi 116 – Bwana u sehemu yangu
1:06:56 Tenzi 157 – Kijito cha utakaso
1:12:55 Tenzi 121 –Liko lango moja wazi
1:20:05 Tenzi 104 –Twasoma ni njema sana
1:26:02 Tenzi 101 – Twonane Milele
#tenzizarohoni #dinuzeno #nyimbozakuabudu #nyimbozadini #tenzi #swahiligospel