SIFA MALANGONI I 14 OKTOBA 2026
MT ADRIANO ONLINE TV
0:00 / 0:00
SIFA MALANGONI I 14 OKTOBA 2026
83 просмотра · Трансляция закончилась 9 дней назад
MT ADRIANO ONLINE TV
172 подписчика
83 просмотра · Трансляция закончилась 9 дней назад
Karibu kwenye ibada ya Sifa malangoni season 3 hapa Mt.Adriano Kitunda. Ibada hii ya kusifu kuabudu pamoja na Maombi inaongozwa na Baba kasisi Rev.Fr. Herman Madale, karibu ujumuike nasi pamoja na kwaya zetu za hapa mtaani Bonage choir Umaki choir babaz gospel band MGB Band pamoja na kwaya ya Vijana kutoka K.K.KT usharika wa Kitunda kuu. somo la ibaba hii linatoka kwenye kitabu cha Yoshua 6:16.Unaweza kutoa sadaka yako kwa njia ya M-PESA Namba 0765 871 844 JINA MT. ADRIANO KITUNDA, Lakini pia unaweza Toa sadaka yako kupitia NMB Bank Akaunti Namba 20102533748 JINA ST ADRIANO KITUNDA. Ubarikiwe sana kwa kujumuika Nasi.