KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 14 SEPTEMBER 2026
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
0:00 / 0:00
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 14 SEPTEMBER 2026
9 629 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
64,4 тыс. подписчиков
9 629 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING | 14 SEPTEMBER 2026
UJUMBE WA LEO: PANUA MAHALI PA HEMA YAKO
(ENLARGE THE PLACE OF YOUR TENT)
Isaya 54 : 2 - 3
2 Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
3 Kwa maana utaenea upande wa kuume na upande wa kushoto; na wazao wako watawamiliki mataifa; wataifanya miji iliyokuwa ukiwa kukaliwa na watu.
Mazingatio muhimu kuhusu kupanua mahali pa hema:
1. Kuna saa ili upanue mahali pa hema yako na uongezeke, kuna watu inabidi uwasemeshe au uwaombee yale wayatendayo watende upesi.
Yohana 13 : 26 - 27, 31
26 Basi Yesu akajibu, Ndiye mtu yule nitakayemtowelea tonge na kumpa. Akatowelea tonge, akalitwaa akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskariote.
27 Na baada ya hilo tonge Shetani alimwingia. Basi Yesu akamwambia, Uyatendayo yatende upesi.
31 Basi huyo alipokwisha kutoka, Yesu alisema, Sasa ametukuzwa Mwana wa Adamu, naye Mungu ametukuzwa ndani yake.
Mhubiri: Andrew Bartimayo
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com