MILA – Episode 1| Bongo Movie ya Kutisha | Tanzanian Horror Movie
Gebron Films
0:00 / 0:00
MILA – Episode 1| Bongo Movie ya Kutisha | Tanzanian Horror Movie
236 просмотров · 15 ч назад
Gebron Films
435 подписчиков
236 просмотров · 15 ч назад
MILA – EPISODE 1🎬
Kuna mambo ambayo mwanadamu hapaswi kuyaona… na kuna siri ambazo zikifichuka, maisha hayatakuwa tena kama zamani.
MILA ni filamu ya kutisha kutoka Tanzania inayochanganya mystery, supernatural horror, drama na suspense katika simulizi yenye siri nzito na matukio yasiyotabirika.
Katika trailer hii, tunaanza kuona upande wa giza wa MILA — lakini hii ni mwanzo tu wa kile kinachokuja.
🎬 MILA
🇹🇿 Tanzanian Horror Movie
🎭 Bongo Movie | Swahili Movie
👻 Horror | Mystery | Supernatural | Thriller
Kama unapenda:
• Bongo Movies
• Filamu za Kiswahili
• Tanzanian Movies
• Horror Movies
• African Horror
• Mystery & Thriller
• Filamu zenye suspense na supernatural
👉 SUBSCRIBE kwenye channel na washa 🔔 ili usikose MILA itakapotoka.
💬 COMMENT:
Unafikiri MILA ni nini? #bongomovie #africanhorror #horrormovie #swahilimovie #mila #swahilimovies #tanzanianmovies
Na unadhani nini kitatokea baada ya matukio haya?
#MILA #BongoMovies #TanzanianMovies #SwahiliMovies #HorrorMovie #AfricanHorror #Tanzania #BongoMovie #SwahiliMovie