🔴 #LIVE:WADADA WA OMAN NA MITEGO YA TIKTOK: AMINA BADO KIZUIZINI, WENGINE WANAENDELEA KUPUUZA SHERIA
Global TV Online
0:00 / 0:00
🔴 #LIVE:WADADA WA OMAN NA MITEGO YA TIKTOK: AMINA BADO KIZUIZINI, WENGINE WANAENDELEA KUPUUZA SHERIA
7 762 просмотра · Трансляция закончилась 14 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
7 762 просмотра · Трансляция закончилась 14 ч назад
🔴 #LIVE:WADADA WA OMAN NA MITEGO YA TIKTOK: AMINA BADO KIZUIZINI, WENGINE WANAENDELEA KUPUUZA SHERIA
Katika kipindi hiki cha MAPITO, Amina anasimulia mkasa mzito na magumu aliyopitia baada ya kufungwa miezi 3 gerezani nchini Oman kufuatia kutoroka kwa bosi wake. Anatoa onyo na ushauri mzito kwa wasichana na wadada wanaofanya kazi za ndani nchi za Kiarabu (Uarabuni). Fuatilia simulizi hii ya kusisimua na mafunzo muhimu.
00:00 - Utangulizi & Taarifa za Kesi ya Amina (Oman)
02:40 - Athari za Matumizi Mabaya ya Mitandao ya Kijamii
10:45 - Somo Kuhusu Maisha, Binadamu na Kutengeneza Legacy
18:10 - Umuhimu wa Kumtafakari Mungu na Kujitathmini
33:10 - Ujumbe wa Dorine: Ombi la Msaada Kurudi Tanzania
38:35 - Dorine Asimulia Changamoto Zake Oman na Kutokuwa na Mkataba
48:30 - Athari za Kusafiri Bila Kupitia Taratibu Sahihi (TAESA)
01:03:35 - Simu na Agent Salama: Majibizano Kuhusu Mkataba wa Dorine
01:13:30 - Ushauri wa Kwenda Ubalozini Kumaliza Mzozo
01:32:30 - Sintofahamu na Vurugu Chumbani kwa Dorine Wakati wa Kipindi
01:46:15 - Ufafanuzi Kuhusu Haki za Wafanyakazi na Hatua za Ubalozi
01:56:15 - Agent Salama Apiga Tena Simu Kujitetea
02:05:35 - Mrejesho wa Dada Nifa: Biashara Mpya na Shukrani kwa Wadau
02:18:15 - Hitimisho la Kipindi na Matangazo ya Huduma
Usisahau ku-Subscribe, kulike, kuacha maoni yako, na kushare simulizi hii iwafikie wengi.
#Mapito #GlobalTVOnline #SimuliziZaMaisha #KaziZaUarabuni #Oman
============================================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com