MFUMO PART1
DREAM SPACE STUDIOS
0:00 / 0:00
MFUMO PART1
22 867 просмотров · 1 дн. назад
DREAM SPACE STUDIOS
2,59 тыс. подписчиков
22 867 просмотров · 1 дн. назад
Wahitimu sita wa chuo kikuu, kila mmoja akiwa na maisha, ndoto na siri zake za kifamilia, wanajikuta katika mkasa unaogeuza sherehe yao ya kuhitimu kuwa jinamizi. Wakiwa safarini kuelekea kwenye after-party, wanakumbana na mwili wa mtu aliyeripotiwa kupotea siku kadhaa zilizopita ndani ya gari lao. Ghafla, furaha yao inageuka hofu wanapojikuta wakiwa washukiwa wakuu wa mauaji