Перейти к содержимому

RAPCHA - CHINI FEAT. IBRAAH [OFFICIAL VIDEO]

Rapcha и Ibraah

0:00 / 0:00

RAPCHA - CHINI FEAT. IBRAAH [OFFICIAL VIDEO]

109 894 просмотра · 2 дня назад
Rapcha и Ibraah
109 894 просмотра · 2 дня назад
STREAM/DOWNLOAD HERE: https://onerpm.link/136086000017 LYRICS Dondoka chini nisikie uh Shuka chini nisikie aah Dondoka chini nisikie uh Shuka chini nisikie aah Mtoto wa Abuja ama wa Congo? Nimenasa kwenye korongo Wa Kenya ameshuka Bongo Nimeuelewa mchongo huo Utamu huo Mtoto wa Abuja ama wa Congo? Nimenasa kwenye korongo Wa Kenya ameshuka Bongo Nimeuelewa mchongo huo Utamu huo Huo Utamu huo Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah Badman nakesha Badman nasweat, yeah Badman nikiwa busy namwambia baby maji leta Nikichomeka waya inawaka antenna Inasimama vyema, chumbani masinema Ukiona hapatikani tuko geto anacheza na mimi Utamu utamu yani natoka online Yani taabani ananichanganya aking’ata ulimi Na anavyonipa nipa sa mwenzenu niseme nini? Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah Mashaallah Ulalaah Dar ni joto ila stoki nasikia raha Mashaallah Ulalaaaah Five star Ni kifaa Nahit hit hivi! Nahit hitije? Mtoto mkali unashangaa nahit hitije shanga kwenye kiuno zinakuanga bize Zigo ni la kuzidi linabounce na Dj Kwenye Kuchimba dawa mi nakuaga ka stupide Change pozi anasema yes mukide Kutwa ni mara tatu na hatubadili routide Na mambo ni shi shi shi shi shi shi shikide Mtoto wa Abuja ama wa Congo? Nimenasa kwenye korongo Wa Kenya ameshuka Bongo Nimeuelewa mchongo huo Utamu huo Mtoto wa Abuja ama wa Congo? Nimenasa kwenye korongo Wa Kenya ameshuka Bongo Nimeuelewa mchongo huo Utamu huo Huo Utamu huo Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah Dondoka chini nisikie uh (Dondoka) Shuka chini nisikie aah M.F.O.Y 99 till i die Wamileeee Oya gang gang Hahah Audio produced by: / gachib Mixing and Mastering by: / gachib Join Our Family: / rapcha_tz / rapcha_tz / rapcha_tz #rapcha #ibraah