ELIMU INAYOHUSIANA UZALISHAJI WA KAHAWA
KILIMO NA UFUGAJI
0:00 / 0:00
ELIMU INAYOHUSIANA UZALISHAJI WA KAHAWA
1 099 просмотров · 6 л. назад
KILIMO NA UFUGAJI
26 подписчиков
1 099 просмотров · 6 л. назад
KILIMO CHA KAHAWA
Aina ya zao la KAHAWA ni compact pia Kuna magonjwa ambayo hukumba zao la KAHAWA ambalo ni Ukungu n.k
Na pia Kuna Aina za ukuaji wa zao la KAHAWA
_ primary process miezi sita(6)
Nursery period miezi mitatu(3)
Secondary period miaka (3)
Na pia Kuna Aina za MBOLEA zinazotumika kwenye ukuzaji wa KAHAWA
_ mboji( mabaki ya mimea)
_samadi (kinyesi Cha wanyama)
*Na kuandaa shimo ni baada ya miezi mitatu 3 kabla ya kupanda mmea .
*Andaa debe moja ya MBOLEA kabla ya kupanda ndani ya shimo moja la mmea.
UVUNAJI WAKE
-kila mmea hutoa kg 10 ambayo haijakobolewa
_ na MBOLEA iliyokobolewa hutoa kg 7
__ karibu katika channel ya mifugo na kilimo ili ujifunze mengi yatakayo kuwa yakijili kila siku nila kusahau kusubscribe ili upate mafunzo kwa urahisi ahsante.