AMURU BARAKA YA ASILI YA UUMBAJI IJE KWAKO| Mwl. Barnabas Joseph
8.SILAHA YA UPANGA WA ROHO NA MAOMBI TU.
0:00 / 0:00
AMURU BARAKA YA ASILI YA UUMBAJI IJE KWAKO| Mwl. Barnabas Joseph
306 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
8.SILAHA YA UPANGA WA ROHO NA MAOMBI TU.
528 подписчиков
306 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
TAREHE 15/07/2026
AMURU BARAKA YA ASILI YA UUMBAJI IJE KWAKO
*Kuna Baraka yako ya asili ya uumbaji ambayo
ilikuja kuvurugwa na asili yako ya kuzaliwa.
Warumi 8:29
Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.