Перейти к содержимому

Buriani Ken Walibora Waliaula!

Habari za UN

0:00 / 0:00

Buriani Ken Walibora Waliaula!

2 701 просмотр · 6 лет назад
Habari za UN
57,5 тыс. подписчиков
2 701 просмотр · 6 лет назад
Mwendazake Prof. Ken Walibora Waliaula alikuwa mdau wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Mwanzoni mwa mwaka jana alihojiwa na Grace Kaneiya wa Idhaa hii ambapo katika mazungumzo yao ya takribani saa moja, alizungumzia alikoanzia hadi kufikia kuwa mwanariwaya mashuhuri.