Перейти к содержимому

SIJAFA [ FULL MOVIE ] Episode [ 1-5 ] " I AM NOT DEAD "

MARAZONE TV

0:00 / 0:00

SIJAFA [ FULL MOVIE ] Episode [ 1-5 ] " I AM NOT DEAD "

149 089 просмотров · 1 месяц назад
MARAZONE TV
6,86 тыс. подписчиков
149 089 просмотров · 1 месяц назад
Hii ni Filamu Kamili ya Kiswahili ( Swahili Movie Full Tanzania ) inayojulikana kama "SIJAFA". Ni simulizi ya kusisimua na ya kipekee sana kuhusu mtoto wa ajabu ALIYEULIWA akiwa na nguvu za ajabu na uwezo wa kipekee usio wa kawaida. Katika bongo movie hii mpya ya mwaka 2026, utashuhudia drama ya familia, mapambano, na ujasiri mkubwa wa MAITI inayokataa kuzikwa huku mjomba wake pia akiweka kipingamizi Kama wewe ni mpenzi wa simulizi za kusisimua, filamu za kiafrika, action za Kiswahili, na hadithi za ajabu zenye mafunzo makubwa, basi filamu hii bora ya Kiswahili imekusandikiwa maalum kwa ajili yako. Hakikisha unaangalia mwanzo hadi mwisho ili kujionea maajabu haya ya mtoto mwenye uwezo maalum! Usisahau kulike video hii, kuacha maoni yako (comment) hapa chini, na kusubscribe kwenye chaneli yetu kwa ajili ya kupata muendelezo wa filamu hizi nzuri za burudani Tanzania. -- TIMESTAMPS (SEHEMU ZA FILAMU) -- 00:00 Don't Skip This! 00:45 The Mysterious Girl 05:30 A Strange Discovery 12:40 Nobody Believed Her 20:15 The Secret Begins 29:50 A Shocking Moment 39:20 Fear Takes Over 48:45 Hidden Truth 58:30 The Dangerous Plan #sijafa#TanzaniaMovies #swahilimovies #