Yaliyomo kwenye The Royal Cycle ya Zaiylissa, Mulky, Dolly Restie na Lissa, wamejipanga, wamejipata!
Simulizi Na Sauti
0:00 / 0:00
Yaliyomo kwenye The Royal Cycle ya Zaiylissa, Mulky, Dolly Restie na Lissa, wamejipanga, wamejipata!
4 210 просмотров · 18 часов назад
Simulizi Na Sauti
1,64 млн подписчиков
4 210 просмотров · 18 часов назад
Wapendwa watazamaji wetu wa Simulizi na Sauti (SnS), mwaka huu tumetajwa kuwania vipengele vitatu kwenye Samia Kalamu Awards. Tunaomba support yenu kwa kutupigia kura kupitia tovuti au kwa SMS. Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24.
1. SIMULIZI NA SAUTI (SNS)
Kipengele: Chombo cha Habari cha Mtandaoni
Kodi: 260261
Piga kura kupitia:
https://samiaawards.tz/mshiriki/260261
Au tuma SMS yenye ujumbe:
SKA 260261 kwenda 15200
2. FREDRICK KABOTA BUNDALA
Kipengele: Fedha na Uchumi
Kodi: 260126
Piga kura kupitia:
https://samiaawards.tz/mshiriki/260126
Au tuma SMS yenye ujumbe:
SKA 260126 kwenda 15200
3. ESCO DONALD MKANDAWILE
Kipengele: Kazi na Ajira
Kodi: 260106
Piga kura kupitia:
https://samiaawards.tz/mshiriki/260106
Au tuma SMS yenye ujumbe:
SKA 260106 kwenda 15200
Kila kura yenu ina maana kubwa sana kwetu na ni sehemu ya safari ya SnS kuendelea kufanya kazi bora zaidi. Tafadhali piga kura kila baada ya saa 24 na share ujumbe huu kwa ndugu, marafiki na wengine wanaopenda kazi za SnS.
ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU. KURA YAKO NI NGUVU YETU.