Перейти к содержимому

MAUMIVU YA MGONGO KUMBE ALIKUWA AMEBEBA MZIMU |Shutter

Swahilimaktaba

0:00 / 0:00

MAUMIVU YA MGONGO KUMBE ALIKUWA AMEBEBA MZIMU |Shutter

41 550 просмотров · 1 месяц назад
Swahilimaktaba
22,1 тыс. подписчиков
41 550 просмотров · 1 месяц назад
Shutter.. Alikaa na maumivu ya mgongo na shingo kwa miaka 5 bila kujua sababu halisi. Kila alipiga picha, kulikuwa na matukio ya ajabu yaliyomfuata. Baadaye aligundua ukweli wa kutisha—alikuwa amebeba roho ya marehemu mabegani muda wote. Hii ni recap ya filamu Shutter (Indonesia 2025), remake ya filamu maarufu ya kutisha ya Thailand. Kama unapenda simulizi za filamu za horror zenye siri, mizimu na mwisho usiotarajiwa, video hii ni kwa ajili yako. ⚠️ Tahadhari: Video hii ina SPOILERS za filamu. 👍 Like, Subscribe, na washa 🔔 Notification ili usikose recap nyingine za filamu kali. #Shutter2025 #ShutterIndonesia #MovieRecap #FilmRecap #Horror #Mizimu #Filamu #RecapYaFilamu #FalconPictures #HorrorMovie