Перейти к содержимому

🏔️ Maajabu! Mlima Kilimanjaro Ulitokeaje ? Ushahidi wa Sayansi Unaonyesha Haya | STEMSwahili

STEMSwahili

0:00 / 0:00

🏔️ Maajabu! Mlima Kilimanjaro Ulitokeaje ? Ushahidi wa Sayansi Unaonyesha Haya | STEMSwahili

78 396 просмотров · 2 месяца назад
STEMSwahili
3,42 тыс. подписчиков
78 396 просмотров · 2 месяца назад
🏔️ KILIMANJARO — PAA LA AFRIKA | Siri za Kisayansi Zilizofichwa kwa Muda Mrefu | STEMSwahili Documentary Je, ulijua kwamba kuna volkano inayolala chini ya theluji ya Kilimanjaro? Au kwamba barafu lake inapotea kwa sababu tofauti kabisa na watu wanavyofikiri? Au hadithi ya chui aliyepatikana kwenye urefu wa mita 5,640 — karibu na kilele ? Leo, STEMSwahili inakupeleka kwenye safari ya kisayansi ndani ya mlima mrefu zaidi barani Afrika — Kilimanjaro — Paa la Afrika. Hii si documentary ya kawaida. Hii ni Kilimanjaro kupitia macho ya sayansi — kwa Kiswahili. 🔔 SUBSCRIBE kwa documentaries zaidi za kisayansi kwa Kiswahili 👍 LIKE ukipenda sayansi ya Afrika 📲 SHARE na mwanafunzi, mwalimu, au mpendwa wako 💬 COMMENT: Je, ungependa kupanda Kilimanjaro siku moja? VYANZO: 1. Barafu — Chanzo Kikuu cha Kisayansi (Peer-Reviewed) Thompson, L.G., Brecher, H.H., Mosley-Thompson, E., Hardy, D.R., & Mark, B.G. (2009). Glacier loss on Kilimanjaro continues unabated. Proceedings of the National Academy of Sciences (PNAS), 106(47), 19770–19775. https://www.pnas.org/doi/10.1073/pnas... 2. Barafu — Mtazamo wa Paleoclimatic (Peer-Reviewed) Thompson, L.G., Mosley-Thompson, E., Davis, M.E., & Brecher, H.H. (2011). A paleoclimatic perspective on the 21st-century glacier loss on Kilimanjaro, Tanzania. Annals of Glaciology, 52(59), 60–68. https://www.cambridge.org/core/journa... 3. Barafu — Upimaji wa Hivi Karibuni 2021 (Peer-Reviewed) Prinz, R., et al. (2022). Tropical glacier loss in East Africa: recent areal extents on Kilimanjaro, Mount Kenya, and in the Rwenzori Range from high-resolution remote sensing data. IOP Science — Environmental Research: Climate. https://iopscience.iop.org/article/10... 4. Barafu — Unene wa Barafu (Peer-Reviewed) Stadelmann, C., & Fürst, J. (2020). Brief communication: Glacier thickness reconstruction on Mt. Kilimanjaro. The Cryosphere (TC), 14, 3399–3408. https://tc.copernicus.org/articles/14... 5. Sababu za Kupungua kwa Barafu — Sublimation (Peer-Reviewed) Mote, P.W., & Kaser, G. (2007). The shrinking glaciers of Kilimanjaro: Can global warming be blamed? American Scientist, 95(4), 318–325. https://www.americanscientist.org/art... 6. Geology ya Kilimanjaro — Data ya Kijiolojia (Reference ya Kisayansi) Downie, C., Humphries, D.W., Wilcockson, W.H., & Wilkinson, P. (1965). Geology of Kilimanjaro. Nature, 198, 1057–1058. (Hii ndiyo data iliyotumika kwenye ramani ya kijiolojia ya Sémhur kwenye Wikimedia) 7. Giant Groundsel — Taxonomy ya Kisayansi (Reference ya Kisayansi) Dendrosenecio kilimanjari — iNaturalist / African Plants Database. https://www.inaturalist.org/taxa/3411... Wikipedia (ikitegemea African Plants Database): https://en.wikipedia.org/wiki/Dendros... 8. Kilimanjaro kwa Ujumla — Research Starters (Academic Database) EBSCO Research Starters — Mount Kilimanjaro. https://www.ebsco.com/research-starte... EBSCO Research Starters — Kilimanjaro's Ice Cap. https://www.ebsco.com/research-starte... VYANZO VYA PICHA "Mount Kilimanjaro Geology Map" Mwandishi: Sémhur | Ikitegemea data ya Downie et al. (1965) Leseni: CC BY-SA 4.0 https://commons.wikimedia.org/wiki/Fi... "Shira Plateau" Mwandishi: Stig Nygaard | Chanzo: Flickr Leseni: CC BY 2.0 https://commons.wikimedia.org/wiki/Fi... Sergey Pesterev / Unsplash https://unsplash.com/photos/mfX814jtyro Leseni: Unsplash Free License DISCLAIMER: Picha unazoziona za wapandaji wa mwaka 1926 na ugunduzi wa chui aliyegandishwa zimezalishwa na akili Mnemba (AI) kwa madhumuni ya kuelezea tu. Tukio hili la kihistoria limethibitishwa na vyanzo halisi. Hakuna video ya kweli ya safari hiyo ya mwaka 1926 iliyopo. #Kilimanjaro #StemSwahili #SayansiKiswahili #PaaLaAfrika #RoofOfAfrica #Tanzania #AfrikaDocumentary #Materuniwaterfalls #KilimanjaroDocumentary #SayansiYaAfrika #MazingiraYaAfrika #VolcanoAfrica #KilimanjaroClimb #AfricanScience #STEMKiswahili #ElimuKiswahili #NationalGeographicStyle #mountkilimanjaro #DocumentaryKiswahili #KilimanjaroNationalPark #TanzaniaWildlife #ClimateChangeAfrica #GlacierRetreat #KilimanjaroGlacier #Hemingway #SnowsOfKilimanjaro #AfrikaYaShangaza #TanzaniaNature #EastAfrica #MaajabuYaAfrika #KiboVolcano #MawenziPeak #ShiraPlateau #AshPit #Sublimation #VolcanoScience #NaturalWonders #AfricanWonders #ScienceAfrica #KiswahiliContent #SwahiliScience #AfricanEducation #STEMAfrica #LearnSwahili #KiswahiliYouTube #AfrikaMashariki #TanzaniaYouTube #MountKilimanjaro #KilimanjaroHike #UhurPeak #KilimanjaroSummit #AfricanDocumentary #mawenzi #Shira #Kibo #Bongomovie #swahilimovies #tanzania #kenya #congo