Mjamzito unatakiwa kuanza kuhudhuria Clinic Mimba ikifikisha umri gani??? Na mara ngapi???
Dr. Mwanyika
0:00 / 0:00
Mjamzito unatakiwa kuanza kuhudhuria Clinic Mimba ikifikisha umri gani??? Na mara ngapi???
69 789 просмотров · 5 лет назад
Dr. Mwanyika
230 тыс. подписчиков
69 789 просмотров · 5 лет назад
Mjamzito unapojigundua una Mimba basi mara moja wahi Clinic usisubiri ufikishe miezi mitatu au mtoto acheze tumboni ndipo uanze kwenda clinic!
Kumbuka ni muhimu kuwahi clinic kabla ya wiki 12 / 16 za ujauzito wako, unapowahi utapewa dawa na ushauri nasaha kwa ajili ya kumlinda mtoto wako na shida mbalimbali!
Unatakiwa kwenda/kuhudhuria clinic Mara 8 mpaka unajifungua mtoto wako au ukishindwa sana/Mimba yako haina shida unaweza kwenda au kuhudhuria clinic wastani Mara 6 mpaka kujifungua!
Ukiwa una maswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).
Subscribe,Comment and Share
JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika
#MamAfya
#Clinic
#JapideAfya_Services