Asijifakhari -Saada Mohammed|Old is gold|taarab|Zanzibar|zamani|mwambao
Zanzibar orchestra
0:00 / 0:00
Asijifakhari -Saada Mohammed|Old is gold|taarab|Zanzibar|zamani|mwambao
21 044 просмотра · 10 месяцев назад
Zanzibar orchestra
11,3 тыс. подписчиков
21 044 просмотра · 10 месяцев назад
ASIJIFAKHARI
Mwambieni mwenzenu ajiumb ua
Mwelezeni awache kujizuzua
Masikini hadhi yake yapotea
Akilini akae kuzingatia
Kupita pita njiani huku akijisifia
Kuwa mimi wa Fulani ndie nilie zuwia
Yumo mwangu mikononi
Mwambieni uyo
Umbo lake sio duni Mola alomjalia
Kampa mwili wa shani hana alipopungua
Akisema huamini
Mwambieni uyo
Asijifakhari
sio umbo wala sura vinavyofatiwa
Awe na hadhari
Tabia iliyobora watu hulilia
atunze nadhari atunze nadhari
ikiwa hana busara atajijutia
#Nadi ikhwan / akhwan safaa