Mwanafunzi wa miaka 11 abuni kifaa kusaidia wenye ulamavu wa kusikia
Azam TV
0:00 / 0:00
Mwanafunzi wa miaka 11 abuni kifaa kusaidia wenye ulamavu wa kusikia
1 682 просмотра · 4 года назад
Azam TV
3,33 млн подписчиков
1 682 просмотра · 4 года назад
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mikumi Mpya, Arqam Isihaka ameweza kubuni kengele ya umeme itakayoweza kuwasaidia wanafunzi wenzake wenye ulemavu wa kuona na kusikia.
Arqam amekuwa mwanafunzi kinara kwenye mashindano ya ubunifu kwa wanafunzi wa shule za msingi kwa mwaka 2022.
#AzamTV #HellowWikiendi #UTV108 #Ubunifu