Перейти к содержимому

Acha Kujali Camera! Hivi ndio Vitu vitano Vitakavyofanya Video zako na picha Zionekane Cinematic

T-ROMMYX

0:00 / 0:00

Acha Kujali Camera! Hivi ndio Vitu vitano Vitakavyofanya Video zako na picha Zionekane Cinematic

1 040 просмотров · 2 мес. назад
T-ROMMYX
7,77 тыс. подписчиков
1 040 просмотров · 2 мес. назад
ACHA KUJALI CAMERA! Siri ya Video na Picha Zako Kuonekana Cinematic Watu wengi wanaamini ili kupata video nzuri lazima uwe na camera ya bei kubwa… lakini ukweli ni kwamba camera sio kila kitu. Katika video hii nitakuonyesha vitu 5 muhimu vinavyoweza kubadilisha kabisa quality ya video na picha zako, hata kama unatumia camera ya kawaida au smartphone. Kama wewe ni: -Photographer anayeanza -Videographer -Filmmaker -Content creator -Mtu anayependa kutengeneza video nzuri Video hii itakusaidia kuelewa misingi ya kupata cinematic look bila kukimbilia kununua camera mpya. Katika video hii tutajifunza: 1. Umuhimu wa Lighting kwenye cinematic videos 2. Jinsi Composition inavyobadilisha story yako 3. Movement za camera zinazofanya video ionekane professional 4. Color grading na matumizi sahihi ya colors 5. Lens, settings na creativity kuliko gear yenyewe Kumbuka: Filmmaker mzuri hatengenezi picha nzuri kwa sababu ana camera kubwa… anatengeneza picha nzuri kwa sababu anaelewa storytelling. Kama unapenda kujifunza filmmaking kwa Kiswahili, subscribe kwenye channel hii. Tunaendelea kujenga kizazi cha filmmakers wa Afrika Mashariki. #trommyx #Filmmaking #CinematicLook #PhotographyTips #videographytips Kwa maswali lolote nipigie kwenye namba hii CALL OR SMS = +255756879661 KAMA UNAPENDA NINACHO FANYA "PLEASE TIP" ME KWENYE NAMBA HII YA MPESA = +255756879661 AU buymeacoffee.com/trommyx WHATSAPP = +255719866077 https://wa.me/255719866077 INSTAGRAM   / trommyx