Перейти к содержимому

Elimu ya Mbinguni na Macho ya Upendo | Jmdklm, Kanisa la Mungu

World Mission Society Church of God / Global

0:00 / 0:00

Elimu ya Mbinguni na Macho ya Upendo | Jmdklm, Kanisa la Mungu

2 060 просмотров · 6 дней назад
World Mission Society Church of God / Global
147 тыс. подписчиков
2 060 просмотров · 6 дней назад
Biblia, Kitabu Maalum kwa Ajili ya Kuelimisha Watoto wa Mbinguni Upendo ni fundisho muhimu zaidi ambalo Mungu Analitilia mkazo. Kama vile wanamfalme walivyopokea elimu maalum kwa vitabu vilivyotofautishwa na vya watu wa kawaida zamani, watoto wa mbinguni, ambao ni warithi wa Mungu, lazima wafundishwe kwa maneno ya Mungu kupitia kitabu maalum, Biblia. Maandiko yote yamevuviwa na Mungu, na yafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, . . . 2 Timotheo 3:16 Upendo wa Mungu Mama Uliofichwa Katika Biblia Jambo muhimu zaidi katika Biblia ni upendo wa Mungu, ambao ni upendo wa Mama. Kwa hiyo, tukiongeza hata neno moja kwenye Biblia au kupunguza kitu chochote kutoka humo, hatuwezi kuwa na haki ya kuurithi ufalme wa mbinguni. Tunapoiangalia Biblia tuliyopewa na Mungu kwa macho ya upendo, tutaweza kutambua upendo na mapenzi matakatifu ya Mungu Baba na Mungu Mama. [ Hakimiliki za video hii zimehifadhiwa na Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Hairuhusiwi kunakili na kusambaza bila kibali. ] 〖World Mission Society Church of God〗https://watv.org 〖WATV Media Cast〗 https://watvmedia.org/sw 〖Church of God Introduction〗 https://introwmscog.com