Перейти к содержимому

Nimeona Wema Wako

🎵 SALUFU WORSHIP

0:00 / 0:00

Nimeona Wema Wako

285 просмотров · 2 мес. назад
🎵 SALUFU WORSHIP
52 подписчика
285 просмотров · 2 мес. назад
🎵 NIMEUONA WEMA WAKO| OFFICIAL AUDIO “Nimeona Wema Wako” ni wimbo wa shukrani na ushuhuda unaomtukuza Mungu kwa wema, upendo na uaminifu wake katika maisha yetu. Katika kila hatua ya maisha, tumepitia changamoto, lakini Mungu amekuwa mwaminifu. Leo tunasema kwa moyo wote: Nimeona Wema Wako, Ee Mungu. 🙏 🎤 Artist: Salufu Worship 🎵 Song: Nimeona Wema Wako 🎼 Genre: Afro Gospel / Swahili Gospel 📀 Official Audio 🙏 Kama wimbo huu umekubariki: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe 📲 Share na wengine Mungu awabariki sana kwa kusikiliza na kuunga mkono huduma hii ya muziki. ❤️ #NimeonaWemaWako #SalufuWorship #SwahiliGospel #AfroGospel #GospelMusic #ChristianMusic #TanzaniaGospel