# SIALALI KUVIWEKA KATIKA SADUKU YA SADAKA KWA KUWA NI KIMA CHA DAMU...
MWANGA WA AHADI
0:00 / 0:00
# SIALALI KUVIWEKA KATIKA SADUKU YA SADAKA KWA KUWA NI KIMA CHA DAMU...
62 просмотра · 6 месяцев назад
MWANGA WA AHADI
269 подписчиков
62 просмотра · 6 месяцев назад
Ni Wito kwa Kila Mmoja Wetu Kutafakari Maisha Yetu:
Je, Tunachotoa Mbele za Mungu Kinatoka Kwenye Moyo Safi?
Au ni Matokeo ya Mambo Yasiyo ya Haki?
Mungu Anapenda Zaidi Moyo Safi Kuliko Sadaka Kubwa.
Tujifunze Kufanya Yaliyo Mema, Haki na Upendo Mbele Zake.
Tafakari Ujumbe Huu, Ujifunze na Uwashirikishe Wengine.
Mawasiliano: 0655 509 930
TikTok: Mwanga wa Ahadi
Facebook: Mwanga wa Ahadi
👍 Like. 💬 Comment. 🔁 Share. 🔔 Subscribe
#MwangaWaAhadi #NenoLaMungu #Tafakari #Imani #Ukristo #UjumbeWaLeo