Перейти к содержимому

UCHANGANUZI | Umaarufu wa wagombea unavyochochea joto la ushindani majimboni

Azam TV

0:00 / 0:00

UCHANGANUZI | Umaarufu wa wagombea unavyochochea joto la ushindani majimboni

271 просмотр · 1 год назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
271 просмотр · 1 год назад
Kadri siku zinavyoyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, joto la kisiasa linaendelea kupanda katika baadhi ya majimbo yenye ushindani mkali, ambapo umaarufu wa chama na mgombea umeelezwa kuwa kigezo kikubwa cha ushindi kuliko sera zinazotolewa. Huku majimbo ya uchaguzi yakiwa 272, wachambuzi wanasema mchuano mkali zaidi unatarajiwa katika maeneo ambayo wagombea au vyama vyao vina ushawishi mkubwa, na hali hiyo inaashiria kampeni za siku 62 zijazo zitakuwa za mvutano wa kisiasa wa hali ya juu. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi