Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Mjini Afunguka Kuhusu Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
ZC THREE CHANNEL
0:00 / 0:00
Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Mjini Afunguka Kuhusu Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
67 просмотров · 4 недели назад
ZC THREE CHANNEL
34 подписчика
67 просмотров · 4 недели назад
Mapokezi makubwa ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamefanyika Zanzibar, yakihudhuriwa na viongozi, wanachama na wananchi kutoka maeneo mbalimbali.
Katika mahojiano haya maalum, Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Mjini, Suleimani Aboud Ali, anazungumzia umuhimu wa mapokezi hayo, mshikamano wa chama, na ujumbe wake kwa wanachama pamoja na wananchi wa Zanzibar.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho upate kusikia maelezo yake kwa kina kuhusu tukio hili muhimu.
👍 Usisahau:•
Like• Comment• Share• Subscribe ZC THREE CHANNEL
Editor: Shabani J. Shabani
Reporter: Sabra Ali
Production: ZC THREE TEAM.
#ZCTHREECHANNEL #CCM #Zanzibar #SuleimaniAboudAli #Habari #Siasa #Mapokezi #ZanzibarLeo