WANAFUNZI HANDENI WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MAZINGIZA YA SHULE ZAO
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
WANAFUNZI HANDENI WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MAZINGIZA YA SHULE ZAO
476 просмотров · 5 лет назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
476 просмотров · 5 лет назад
Wananfunzi wa shule ya msingi Kwaluwala halmashauri ya mji Handeni mkoani Tanga wameiomba serikali kuendelea kuboresha mazingira ya shule zao,kwani bado zipo changamoto licha ya kupewa elimu bure.
Wanafunzi hao wamesema hayo jana katika risala yao,kwenye sherehe za mahafali yao yaliofanyika kata ya Kwamagome na kusema kuwa ukosefu wa vyoo,madarasa ya kutosha na maji shuleni ni vitu muhimu ambavyo vinatakiwa kufanyiwakazi katika mazingira ya shule zao,ili kutoa elimu bora.