Kazi 10 za Kujifunza Kabla AI Haijachukua Kazi Yako Kufikia 2030
Ismail Mashaka
0:00 / 0:00
Kazi 10 za Kujifunza Kabla AI Haijachukua Kazi Yako Kufikia 2030
60 просмотров · 6 дн. назад
Ismail Mashaka
28 подписчиков
60 просмотров · 6 дн. назад
Je, unajua kwamba kufikia mwaka 2030, AI inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyofanya kazi na hata kuondoa baadhi ya nafasi za ajira? Lakini kuna jambo muhimu: si kila mtu atapoteza kazi. Wale watakaokuwa na skills sahihi wataendelea kuhitajika, kulipwa vizuri na kuwa hatua moja mbele ya wengine.
Katika video hii, nimeelezea skills 10 muhimu unazopaswa kuanza kujifunza sasa ili kuongeza thamani yako, kujiandaa na mabadiliko ya teknolojia na kulinda mustakabali wa kazi yako katika dunia inayoendeshwa na AI.
#AI #Teknolojia #Ajira2030 #ismail #mashaka