Перейти к содержимому

JERRY SILAA AMPA MTIHANI MZITO MKURUGENZI JIJI LA DODOMA "KUFIKIA JUMATATU AWEKE VIBAO MAENEO YOTE"

Millard Ayo

0:00 / 0:00

JERRY SILAA AMPA MTIHANI MZITO MKURUGENZI JIJI LA DODOMA "KUFIKIA JUMATATU AWEKE VIBAO MAENEO YOTE"

34 277 просмотров · 3 года назад
Millard Ayo
6,19 млн подписчиков
34 277 просмотров · 3 года назад
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini nzima kuweka vibao vinavyitambulisha maeneo ya wazi ‘OPEN SPACE’ ili kuepusha migogoro ya wananchi kuuziwa maeneo hayo. Kauli hiyo ameitowa akiwa katika ofisi ya kata ya Ipagala jijini Dodoma alipofika kutatua mgogoro ulihusisha wananchi kuuziwa maeneo ya wazi kinyume na utaratibu.