Перейти к содержимому

MPINGA KRISTO YUPO DUNIANI PART ONE: BISHOP GWAJIMA: 15.4.2020

Josephat Gwajima RudishaTv

0:00 / 0:00

MPINGA KRISTO YUPO DUNIANI PART ONE: BISHOP GWAJIMA: 15.4.2020

54 489 просмотров · Трансляция закончилась 6 л. назад
Josephat Gwajima RudishaTv
523 тыс. подписчиков
54 489 просмотров · Трансляция закончилась 6 л. назад
KULIOMBEA BARA LA ULAYA 1John 2:18 Shetani nae ana utatu muovu : Joka , mnyama, mpinga Kristo Ushetani umejengwa kwenye wizarq kama serekali za duniani, lakini wako chini ya shetanj Ule. Joka ndio mwenye nguvu, amenipa ndogo nabii wa uongo ili aweze kumpa nguvu mpinga Kristo. Shetani ataigq, atageuka kuwa binadamu ili awe mpinga krist. Nabii ya uongo Mifumo ya Dunia Inategeneza tatizo na inatengeneza suluhisho Kabla ya mpinga Kristo kutawala duniani kanisa litanyakuliwa kwanza. Kanisa ni watu Muda huu umekaribia sana , Mungu kuwachukua watu wake Shetani anataka kuwauwa watu ili watu wafe dhambini .