Перейти к содержимому

KIM JONG UN ALIVYOMUUA KAKA YAKE KISA MADARAKA

SMTV

0:00 / 0:00

KIM JONG UN ALIVYOMUUA KAKA YAKE KISA MADARAKA

140 793 просмотра · 6 л. назад
SMTV
312 тыс. подписчиков
140 793 просмотра · 6 л. назад
#NorthKorea Hakuna Binadamu mwenye mamlaka ya kutoa Uhai wa Mtu Mwingine Ila kwa Kuwa Binadamu siyo malaika Basi Tumekuwa tukiuwana pasipo Sababu za Msingi.Mnamo February 13 mwaka 2017 Kim Jong-Nam akiwa uwanja wa ndege wa Kualar-Lumpar, Malaysia akisubiri ndege kurudi Macau ambako amekuwa akiishi kwa mda mrefu tangu alipokimbia Nchini kwao Korea Kaskazini,Akiwa Yupo amekaa Uwanja wa Ndege gafra alifuatwa na wasichana wawili wakiwa wamevalia ‘gloves’ na mmoja akamshika usoni kisha wasichana hao kutoweka Kwa wakati huo wadada hao wawili walitoweka Kama mizimu wa Sumbawanga. Jiunge na group yetu ya WhatsApp kwa kubonyeza link hapo chini kuendelea kupata story mbalimbali na kuwa Wazalendo kwa bara letu la africa Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/HFFqiGueDRI...