Перейти к содержимому

#live🔴MWENYEKITI CCM MKOA WA ARUSHA OLE SABAYA📍 ASHIRIKI MBIO ZA JOGGING LONGIDO📍

Smile Media

0:00 / 0:00

#live🔴MWENYEKITI CCM MKOA WA ARUSHA OLE SABAYA📍 ASHIRIKI MBIO ZA JOGGING LONGIDO📍

1 323 просмотра · 2 года назад
Smile Media
4,57 тыс. подписчиков
1 323 просмотра · 2 года назад
Wakati Tanzania ikijiandaa,kuelekea katika zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa,unaotarajia kufnyika novemba 27/2024. Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Arusha Loy Thomas Ole Sabaya,ameshiriki mbio za jogging wilaya ya Longido,zilizobeba ujumbe wa hamasa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la uandikishaji na ushiriki wa zoezi la upigaji kura ngazi ya vijiji na vitongoji. #live #tbc #zuchu #babalevo #quotes #viralvideo #diamondplatnumz #wasafitv #breakingnews #ikulumawasiliano #ccm #ccmzanzibar #wasafimedia #wasafi #tbc #ikulumawasiliano #longido#makonda‪@smilemedia9365‬ Subscribe like Comment Share.