Перейти к содержимому

PT 3 | Tafsiri ya Ndoto inayohusu Vyakula | Pastor Goodluck Kyara

Pastor Goodluck Kyara

0:00 / 0:00

PT 3 | Tafsiri ya Ndoto inayohusu Vyakula | Pastor Goodluck Kyara

847 просмотров · 3 мес. назад
Pastor Goodluck Kyara
1,23 тыс. подписчиков
847 просмотров · 3 мес. назад
Tafsiri ya Ndoto inayohusu Vyakula Leo tunaingia kwenye safari ndefu — tafsiri ya ndoto mbalimbali kibibilia na maandiko. 🔥 "Ukiota unakula chakula — tafsiri ya kwanza ya kibibilia ni kwamba kuna ukumbusho wa agano linakufuatilia. Hutakiwi kulisahau." 🔥 "Ukiona unakula na wafu — sio ndugu zako. Ni roho zinazovaa sura yao zimekuja kukumbusha agano." 🔥 "Chakula kwenye ulimwengu wa roho ni ukumbusho wa mkataba." 🔥 "Ukiokoka shetani anabaki na faili — jaribu kubwa la huyo mtu litakuwa ni kitu kile kile." 🔥 "Ukiokoka hujaondolewa kwenye vita. In fact ukiokoka ndio umeandikishwa kwenye vita." Katika ibada hii ya Jumapili utajifunza: ✅ Tafsiri ya kibibilia ya ndoto ya kula chakula — mazuri na mabaya ✅ Ndoto ya kula na wafu inamaanisha nini? ✅ Ishara 6 za Kibiblia zinazoonyesha hiyo ndoto uliyoiota unatakiwa uifanyie kazi HARAKA ✅ Vyanzo vitatu vya ndoto — Mungu, wewe mwenyewe, au shetani ✅ Jinsi ya kuvunja agano la giza kwa damu ya Yesu Kristo "Tafsiri ya ndoto lazima ijengwe kwenye foundation ya neno la Bwana." — Pastor Goodluck Kyara ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ Kama video hii imekusaidia, SUBSCRIBE 🔔 LIKE 👍 na SHARE 🙏 kwa mtu anayehitaji ushindi huu leo! 📍 New Vine Church HQ | Mwanza, Tanzania 👤 Pastor Goodluck Kyara ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ 🔗 FUATA / FOLLOW: ▶️ YouTube:    / @newvinechurchhq   📘 Facebook:   / pastorgoodluckkyara   📸 Instagram:   / pastorgoodluckkyara   🎵 TikTok:   / pastorgoodluckkyara   #NewVineChurch #PastorGoodluckKyara #TafsiriYaNdoto #NdotoYaChakula #KushindaVita