Waziri aagiza kozi zaidi zianzishwe Chuo cha Wanyamapori Pasiansi
Azam TV
0:00 / 0:00
Waziri aagiza kozi zaidi zianzishwe Chuo cha Wanyamapori Pasiansi
10 372 просмотра · 7 лет назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
10 372 просмотра · 7 лет назад
Serikali imekiagiza Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori cha Pasiansi jijini Mwanza kuanzisha mufunzo ya ziada yakiwepo ya kuongoza watalii, lugha za kigeni na udereva ili kupanua wigo wa ajira kwa askari wanaohitimu katika chuo hicho.
#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV