Перейти к содержимому

Misingi na Maadili ya Vyombo vya Habari kwa Mtazamo wa Kiisilamu_Sheikh Ally Mbwera

AL-MUGHIITHU MEDIA

0:00 / 0:00

Misingi na Maadili ya Vyombo vya Habari kwa Mtazamo wa Kiisilamu_Sheikh Ally Mbwera

189 просмотров · 11 дней назад
AL-MUGHIITHU MEDIA
251 подписчик
189 просмотров · 11 дней назад
Sheikh Ally Mbwera Anatufungulia Mtazamo Mpana Kuhusu Nafasi, Wajibu, Maadili na Misingi ya Vyombo vya Habari Kwa Mujibu wa Mafundisho ya Uislamu. Ni kwa namna gani Vyombo vya Habari vinaweza kuwa Nyenzo ya Kuelimisha, Kuonya, Kujenga Maadili na Kulinda Jamii Badala ya kuwa Chanzo cha Fitna, Uchochezi na Upotoshaji? Msikilize Shk; Mbwera Akiyadadavua Hayo kwa Marefu na mapana