MWENEZI CCM MASASI AWAHIMIZA WANACHAMA KULIPA ADA KWA WAKATI.
MASASI ONE ONLINE TV
0:00 / 0:00
MWENEZI CCM MASASI AWAHIMIZA WANACHAMA KULIPA ADA KWA WAKATI.
73 просмотра · 1 дн. назад
MASASI ONE ONLINE TV
5,33 тыс. подписчиков
73 просмотра · 1 дн. назад
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Masasi, Twahir Mayola amewahimiza wanachama wa chama hicho kulipa ada ya uwanachama wa chama hicho kwa wakati ili kutimiza wajibu wao kwa chama kuimarisha mshikamano miongoni mwa wanachama.
Wito huo ametoa hii leo wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake kwa lengo la kuhamasisha wanachama hao kutimiza wajibu wao kikatibu.
amekuwa kuwa wanachama wanapaswa kuwa na utamaduni wa kutimiza wajibu wao kwa wakati wa ikiwemo kulipa ada ya uwanachama hatua ambayo itasaidia kuendelea kukijenga chama.
aidha, amehimiza viongozi wa ngazi ya kata na matawi kuendelea kusajili wanachama wapya ili chama hicho kuendelea kuwa na wanachama wengi zaidi.