Перейти к содержимому

#LIVE | TLS, Wanazungumza Kuelekea Wiki ya Utatuzi wa Migogoro ya Kibiashara 2026

The Chanzo

0:00 / 0:00

#LIVE | TLS, Wanazungumza Kuelekea Wiki ya Utatuzi wa Migogoro ya Kibiashara 2026

688 просмотров · Трансляция закончилась 1 день назад
The Chanzo
261 тыс. подписчиков
688 просмотров · Трансляция закончилась 1 день назад
TLS, Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi Tanzania (Tanzania International Arbitration Centre – TIAC), kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria (MoCLA), Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG), Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OSG) na Shule ya Sheria Tanzania (LST), kimeandaa Wiki ya Utatuzi wa Migogoro ya Kibiashara Tanzania na Mkutano wa Kilele wa Utatuzi wa Migogoro ya Kibiashara, utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 28 Septemba hadi 2 Oktoba 2026. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.