Перейти к содержимому

WAZIRI MKENDA AZINDUA MUONGOZO WA UTOAJI MIKOPO WANAFUNZI WA 'DIPLOMA', ATOA MAAGIZO

Daily News Digital

0:00 / 0:00

WAZIRI MKENDA AZINDUA MUONGOZO WA UTOAJI MIKOPO WANAFUNZI WA 'DIPLOMA', ATOA MAAGIZO

2 808 просмотров · 2 года назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
2 808 просмотров · 2 года назад
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi SERIKALI kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imetenga Sh bilioni 48 kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi 8,000 watakaodahiliwa kusoma Stashahada (diploma) katika fani za kipaumbele kwa mwaka wa masomo 2023/24. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda wakati wa Uzinduzi wa 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada' leo Oktoba 04, 2023 katika hafla iliyofanyika katika Ofisi ndogo za HESLB, jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, na kueleza kuwa ambapo amesema uamuzi huo umefikiwa kufuatia marekebisho ya HESLB ya mwaka 2017. Imeandaliwa na Frank Buliro na Ismaily Kawambwa Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09