Uje Roho Muumbaji - D. R. Mbilinyi || Live Performance - Kwaya ya Mt. Sesilia Mavurunza #music
Kwaya ya Mt. Sesilia - Mavurunza
0:00 / 0:00
Uje Roho Muumbaji - D. R. Mbilinyi || Live Performance - Kwaya ya Mt. Sesilia Mavurunza #music
1 907 просмотров · 1 год назад
Kwaya ya Mt. Sesilia - Mavurunza
6,89 тыс. подписчиков
1 907 просмотров · 1 год назад
UJE ROHO MUUMBAJI: D. R. Mbilinyi (Organist - Diana Kitika)
*Uje Roho Muumbaji, utazame roho zetu.
Jaza neema za Mbinguni, ndani ya viumbe vyako.
*Unaitwa mfariji, paji la Mwenyezi Mungu, chazo cha uzima moto, pendo, mpaka wa Rohoni.
*Mtoa wa vipaji saba, na kidole chake Mungu;
Mwahidiwa naye Baba, na msemesha ndimi zetu.
*Tia nuru akilini na upendo mioyoni;
Tegemeza miili yetu, kwa imara ya kudumu.
*Ufukuze mashetani, na amani tupe hima, hivyo uwe kiongozi, tuepuke ovu lote.
*Umjulishe kwetu Baba, tukamjue pia Mwana,
Tukakusadiki wewe, Roho utokaye kwao.
*Atukuzwe Mungu Baba, na Mwanaye mfufuka.
Pia roho Mtakatifu, kwa milele na milele.
AMINA.
#gospelmusic #kwayakatoliki #kanisakatoliki