Перейти к содержимому

“Furaha ya mmoja ni furaha ya wote! ❤️🎶”

Kwaya Mt. Gregory Mkuu – Chamazi Vigoa

0:00 / 0:00

“Furaha ya mmoja ni furaha ya wote! ❤️🎶”

177 просмотров · 10 дней назад
Kwaya Mt. Gregory Mkuu – Chamazi Vigoa
87 подписчиков
177 просмотров · 10 дней назад
Kwa moyo wa upendo na umoja wa kindugu, Kwaya ya Mtakatifu Gregory Mkuu tulipata nafasi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanakwaya mwenzetu ARON. 🎂🥳 Asante kwa kutushirikisha furaha yako na kutuletea keki ya kusherehekea pamoja nasi. ❤️🍰 Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako na tunakuombea akujalie afya njema, maisha marefu, furaha, amani na baraka tele. 🙏🏽 Heri ya siku ya kuzaliwa! 🎉🎂 Mungu azidi kukuongoza na kukubariki katika kila hatua ya maisha yako. #KwayaYaMtakatifuGregoryMkuu #HappyBirthday #HeriYaSikuYaKuzaliwa #FamiliaYaKwaya #KwayaYaKikatoliki #KanisaKatoliki #UmojaWaKwaya #FurahaYaMmojaNiFurahaYaWote #MunguAwabariki #CatholicChoir #BirthdayCelebration #ChoirFamily #TumsifuMungu 🎶🙏🏽