Перейти к содержимому

MAKAA YA MAWE YANAHITAJIKA KWA WINGI DUNIANI, MBUNGE MBINGA VIJIJINI

Wizara ya Madini Tanzania

0:00 / 0:00

MAKAA YA MAWE YANAHITAJIKA KWA WINGI DUNIANI, MBUNGE MBINGA VIJIJINI

1 299 просмотров · 3 года назад
Wizara ya Madini Tanzania
1,71 тыс. подписчиков
1 299 просмотров · 3 года назад
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga amesema Makaa ya Mawe yanahitajika kwa wingi duniani kwa sasa. Amesema Serikali itumie fursa hiyo kuhakikisha wilaya inapata faida ya uwepo wa migodi kwa kutoa ajira na kuleta maendeleo kwa jamii zinazozunguka mgodi hiyo.