Перейти к содержимому

UKIZIONA ISHARA HIZI 4 TAMBUA UKO KWENYE NJIA YA KUELEKEA KUZIMU

NGUVU YA MAONO MEDIA.

0:00 / 0:00

UKIZIONA ISHARA HIZI 4 TAMBUA UKO KWENYE NJIA YA KUELEKEA KUZIMU

536 просмотров · 1 год назад
NGUVU YA MAONO MEDIA.
101 тыс. подписчиков
536 просмотров · 1 год назад
Kuzimu ni eneo Ambalo mtu akifa kwenye dhambi huenda, kuzimu IPO na mbinguni kupo, Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kuzimu na mbinguni ukiishi maisha ya utakatifu utaenda mbinguni Lakini ukiishi maisha ya uovu utaenda kuzimu, Zipo ishara Ambazo Ukiziona unatakiwa kutambua uko kwenye njia ya kuelekea kuzimu